logo MP3
head_logo

Wakadinali Kum Baba (Feat. Abbas Kubaf, Wakuu, Pepela & Masterpiece King) Скачать

main img

Wakadinali

Kum Baba (Feat. Abbas Kubaf, Wakuu, Pepela & Masterpiece King)

35 Прослушиваний
03:36
Все треки Wakadinali
Слушать
Скачать песню

Текст песни

Kum baba, Kum baba, Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba, Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba, Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum kum baba, kum kum baba

Zima huyo fala ka fegi akianza joh kumblein
Pedi huchoma ganja vedi anasahau ni plain
Cut cocaine ufuate Kurt Cobain
Ni ma tap tap, tap tap, adisia tei

Niko na alele na nakauma hadi che
Pande ya left ni gwethe hio ingine ni cheng
Anataka nim-lay lay na hakutuma hata plate
On to the next, huwa hatufinyi replay

Nimekuwa engaged na mavitu mingi ndio maana nimekuwa nikiua verse
Hii ni carcass waliidash but wakashindwa vile wataireverse
I be the worst of the best ndio maana nikimada mnasema ati najigas
Na nikarest the case nikapanga vile naweza nikaji-emerge

Nawaonyesha vile naeza murder the rest
Ka hii ni contest basi niwache nikiingia jiembrace
Naweza confess nimekuwa murderer kutoka niwache tei
Madenge nakomomesha vile nawamanganga joh ni kama ni mei

Kum baba, Kum baba, Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba, Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba, Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum kum baba, kum kum baba

Me huwa na-bite, vile nakuja vibaya utadhani natema na gun
Me ndo unadai, vile nachenga hadi refa anakuja na ganji tumunch
Mpini na ndai napita polite bado nakula manduku bie
Mtichi kuchai akuje na bike, buda mi hupita na Benz Benz

Mlinzi ako site, mbona unatense? Me huwa nakunja hadi chuma inabend
Nataka bunde sitaki tudem nataka unipee alafu buda ni-learn
Nina kwela kwa bed nataka tushare, mi si ka Diddy nitakuita kwa bed
Sitaki unipee nakuja kutake kama si daily unatema revenge

Boom bye bye, shot ah fly to the sky
Dem a come fi dis I, but me fi come fi destroy
Shot inna de head, fi di leaky leaky boy
Just a copper and lead fi dem likkle like a toy

Woi, tell em' seh mazgabaz na mazgubaz
Zinafanya nifanye scene ndani ya mask waulize "Who dat!"
Buda! utabugda, ki-ruger, kikishuta
Press gas ni mafuta na matweeter zinachuna (a big tune!)

Kum baba, Kum baba, Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba, Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba, Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum kum baba, kum kum baba

Mboka best, liquor Best
Chica, bestie, I guess
Anika breast, pupa less
Jah Jah amekubless, say it with your chest

Track Ares, kwa track na-race
Walitry kuniarrest, K.U hukuwa mess
Huwezi nihemesha, shimo hukuwa pesa
Tracy na Vanessa, KC bila chaser

Baby I don't really wanna hurt you
Before unyonye kwanza fanya haathu!
Beef inafanya ninakaa stew
Narelease kwa hii beat kile napass through

Man a wizard, unaeza uliza uliza
Kutembea na baba yao kijana huwezi kula gizzard
Huskii Saudi wanawakunia
Ukifika huko shauri yao ni kulia

Kum baba, Kum baba, Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba, Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, Kum baba, Kum baba (Kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum kum baba, kum kum baba

На странице доступен трек Kum Baba (Feat. Abbas Kubaf, Wakuu, Pepela & Masterpiece King) от Wakadinali. Слушайте онлайн или загрузите в один клик бесплатно на свое устройство.