logo MP3
head_logo

Christian Bella Nakuhitaji (Feat. Malaika Band) Скачать

main img

Christian Bella

Nakuhitaji (Feat. Malaika Band)

15 Прослушиваний
06:38
Все треки Christian Bella
Слушать
Скачать песню

Текст песни

Ayayele
Ayayele
Ayayele
Christian Bella king of the best melodies
Na Malaika Music Band
Sio makosa yetu, makosa labda ya kazi
C nine and one
Tuende kazi
(mmh)
Ameondokaa... huku nyuma hali yangu sio shwari
Aliniahidii... hata chelewa atarudi
Ameenda kidogo nyumbani kusalimia wazazi
Imepita sasa miezi mitatu sijui yuko wapi?
Kumbe hata kwa wazazi wake hajafika kabisa aaayeyeye
Chuki Shaban mzee wa Tabata
Yusufe Kitumbo
Maee najiuliza sana kosa langu ni nini?
Kabadilisha mpaka namba
Nikipiga simu yake simpati kabisaa
Si bora angeniambia
Hata magoti ningepiga
Hata msamaha ningemuomba
Tumalize matatizo
Kula, kulala siwezi
Namuwaza mpenzi wangu mtoto mzuri
Nampenda sanaaa
Muambieni nampenda
Arudi, bila yeye, mimi siwezi
Abdul Tole tajiri mmbishi, Steve Nyerere

()
Uko wapi mpenzi wangu nakuhitaji

Popote we ulipo, ujue bado nakupenda

Uko wapi mpenzi wangu nakuhitaji
Popote we ulipo, ujue bado nakupenda

(Jipilonyhe)
Jua nakupendanga bhana kudanganya mupenzi (kiongozi wamasauti ...)
Kwa mapenzi ni kama mayai (Jipilonyhe)
Usipo shikilia vizuri inaweza kuanguka
Wewe ni maua yangu
Nakupenda ndani ya Moyo
Wewe ni maua yangu
Nakupenda ndani ya Moyo
Let's go
Usiende baby aah
Usiende eeeh aah
Rudi naumia aaaaah ndani ya Moyo wangu
Maumivu yangu nipelekee nani?(niko Bella)
Kwa wazazi wake, hata hajafika
Marafiki zake wananidanganya
Nimekukosea nini baby, please baby eeh mmh
Aah! Nakapenda, nakupenda, nakupenda baby
Nilitafuta mapenzi lewo nimepatikana (jack chein)
nilitafuta pote leo nimepataa
mapenz yangu(imbaa)
awe
mapenzi yangu we eeeh
nilifikia jina la F lakin sikuoniiii
nilifikia jina la F lakini sikuoniii
saa nyingine ni wewe baby eeeh
ngenishike kitovu mamaa aah
nimebaki mpweke
baby wang upo wap(bety mauzo)
rudi eeh mama watoto
wangu wa kufa na kuzikana
ruudi iii iiiiiii(we.!)
wengi walisema baby utakuwa mudoli wangu wa kupotezeaga mawazo
wengi walisema amina utakuwa kipenzi changu(hasan cheso)
kwanini unaniacha nilielieeee
ijapo kwamba penzi ni kitu kweli chaumiza
christian bella obamaa
eeh
eeh
eeh
eeeh
christian nzimbi baba na tutyy
(chorous)
nilitafutaaa kila kona sijamuona
wengine wanasema
ameshapata mwingine
siamina kama ni kwel anaweza kufanya hivyoo
kama ni kweliiiii(najutaaa)
kupendaaa(najutaaa)
kama ni kwelii(najutaaa)
kupendaa(najutaa)
wahenga walisema
asiyekupenga achananae
ulikuja kwangu
nikakupenda kwa moyo wote
kama ni kweliiii(najutaaaa)
ushapata mwinginee(najutaaa)
najuta kupendaaa
siri zangu naomba ulindeee
maaaama aah
shida na raha tulizopitia
kumbukaaa
aaaah mamaaaaa
niite basi mieeeee
(chorous)
ayeeeeee
ayeeeeee
ayeeeeee
tutacheza mutwashy
koko ngyemba bellemondo
zulu sana biloko wana
biloko wana ya paleee
hahahaha
endrew segedia
papa na mimiyyy
zee ya kinanda
kadogooo machine
zingoloooo

На странице доступен трек Nakuhitaji (Feat. Malaika Band) от Christian Bella. Слушайте онлайн или загрузите в один клик бесплатно на свое устройство.